DSpace Repository

Mchango wa Lugha za Kiasili katika Uafikiaji wa Maendeleo Endelevu

Show simple item record

dc.contributor.author Kinoti, Timothy M.
dc.date.accessioned 2021-06-18T06:48:18Z
dc.date.available 2021-06-18T06:48:18Z
dc.date.issued 2021-06
dc.identifier.citation East African Scholars Journal of Education, Humanities and Literature Volume-4 Issue-6 en_US
dc.identifier.issn 2617-7250
dc.identifier.uri http://repository.embuni.ac.ke/handle/embuni/3803
dc.description.abstract Makala hii inajadili dhima ya lugha za kiasili, ikiwemo ya Kiswahili, katika kuafikia maendeleo endelevu barani Afrika. Kimsingi, asilimia kubwa ya wenyeji wa bara hili huishi katika maeneo ya mashambani na huzitumia lugha za kiasili katika mawasiliano ya kila siku. Kati ya sekta muhimu zinazoathiriwa na matumizi ya lugha ni pamoja na elimu, habari na mawasiliano, burudani, dini, uandishi na uchapishaji, utunzaji na uhifadhi wa mazingira, afya, kilimo na biashara. Aidha, upatikanaji wa maendeleo endelevu utategemea kwa kiasi kikubwa iwapo wananchi watashirikishwa katika aina mbalimbali za utafiti na matokeo yake kuwasilishwa kwa lugha wanayoielewa ili waweze kuyatekeleza. Makala hii inachukulia kuwa lugha inayo dhima kuu katika utekelezaji wa huduma na shughuli mbalimbali za kitaaluma. en_US
dc.language.iso en en_US
dc.subject lugha za kiasili en_US
dc.subject maendeleo endelevu en_US
dc.subject mawasiliano en_US
dc.title Mchango wa Lugha za Kiasili katika Uafikiaji wa Maendeleo Endelevu en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Browse

My Account