Wanyama, John K.; Wandera, P. Simwa
(2018-12)
Wanasiasa hutumia mbinu anuai kuelekeza uelewa wa suala la kisiasa; mikakati ya propaganda
haswa ndiyo hutumika zaidi katika kampeni za kisiasa miongoni mwa wanadamu wote ulimwenguni.
Shida kubwa ni kama jamii ya kistarabu ...