DSpace Repository

Umbuji wa Wahusika katika Ushairi wa Kiswahili: Mifano Kutoka kwa Diwani ya Jicho la Ndani (S.A. Mohamed, 2002).

Show simple item record

dc.contributor.author Kinoti, Timothy M.
dc.date.accessioned 2019-07-02T09:13:59Z
dc.date.available 2019-07-02T09:13:59Z
dc.date.issued 2019-06
dc.identifier.citation East African Scholars Journal of Education, Humanities and Literature Volume-2, Issue-6,| Jun-2019 en_US
dc.identifier.issn 2617-7250
dc.identifier.uri http://repository.embuni.ac.ke/handle/embuni/2179
dc.description.abstract Suala la utunzi na uhakiki wa mashairi ya Kiswahili limejadiliwa kwa muda mrefu na washairi na wataalamu mbalimbali. Mjadala huu umejikita katika dhana na maana ya shairi la Kiswahili na iwapo lihakikiwe kwa kuzingatia kaida zilizowekwa na wanamapokeo au uhuru ulioibuliwa na wanamapinduzi. Hali hii imekinza kwa kiasi fulani uzingatiaji kikamilifu wa mbinu nyinginezo za kiubunifu za kulihakiki shairi la Kiswahili. Kati ya vipengele muhimu katika sanaa hii kongwe vilivyotelekezwa kiasi ni uteuzi wa wahusika, uchunguzi wa mazingira wanamopatikana na hisia wanazotumiwa na mshairi kuwasilisha, kama inavyosisitizwa katika Nadharia ya Ulimbwende. Kimsingi, jamii husawiriwa katika kazi za fasihi kupitia wahusika kwani ndio wawakilishi na viwakilishi vya hali halisi za wanajamii. Jinsi mshairi akatavyowateua na kuwasawiri wahusika wake katika mazingira mahsusi itaifanya hadhira kuyapenda au kuyachukia matendo, tabia na hali fulani za wanajamii waliowakilishwa na wahusika hao. Makala haya yananuiwa kubainisha dhima ya wahusika wa kishairi katika kujadili na kuhifadhi masuala ya kihistoria. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.subject Ushairi wa Kiswahili en_US
dc.subject usawiri wa wahusika en_US
dc.subject wahusika wa kishairi en_US
dc.subject historia en_US
dc.title Umbuji wa Wahusika katika Ushairi wa Kiswahili: Mifano Kutoka kwa Diwani ya Jicho la Ndani (S.A. Mohamed, 2002). en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Browse

My Account